missile

missile

@missile93

Followers672
Following1.2K

Human missile

Joined on December 08, 2017
@missile93 Statistics

We looked inside some of the tweets by @missile93 and found useful information for you.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
3 days
Average replies
11
Average retweets
20
Average likes
145
Tweets with photos
50 / 100
Tweets with videos
0 / 100
Tweets with links
0 / 100
Fun Fact

As of the end of 2012, Twitter has more than 200 million active users.

#PRESHA | Iwapo una ndugu katika familia au historia ya ugonjwa wa Shinikizo kubwa la damu (PRESHA) katika ukoo una uwezekano mkubwa na wewe kuugua presha

🔵 Kuna vinasaba zaidi ya 50  vinavyochangia tatizo la presha ambavyo mtu hurithi.

🔵Pima presha walau mara 2 kila mwaka. https://t.co/ELVDq2O4p4
2

#PRESHA | Iwapo una ndugu katika familia au historia ya ugonjwa wa Shinikizo kubwa la damu (PRESHA) katika ukoo una uwezekano mkubwa na wewe kuugua presha 🔵 Kuna vinasaba zaidi ya 50  vinavyochangia tatizo la presha ambavyo mtu hurithi. 🔵Pima presha walau mara 2 kila mwaka. https://t.co/ELVDq2O4p4

Kuna watu wana kazi ya kung'ang'ania kuwa @kigogo2014 ni ACT,as if wao ndio walimpa kadi ya uanachama👀👀

2
6
41

Underrated tweet📌📌 https://t.co/rQe1pSg5A2

0
2
7
Sasa unaweza changia #ThanksGivingTz Ukagusa maisha ya Wanajamii wenzetu na Kaya maskini. Changia Online sasa Kupitia.
WEZESHAsasa | Social details - ThanksGivingTz - Online Community https://t.co/mRIdhU3Kl1 #wezeshasasa https://t.co/sZzi2ZIFrd
2

Sasa unaweza changia #ThanksGivingTz Ukagusa maisha ya Wanajamii wenzetu na Kaya maskini. Changia Online sasa Kupitia. WEZESHAsasa | Social details - ThanksGivingTz - Online Community https://t.co/mRIdhU3Kl1 #wezeshasasa https://t.co/sZzi2ZIFrd

Naelewa sasa njia ambayo kanisa katoliki hapa Tanzania limeamua kuipita https://t.co/WRmV1YGtgj

27
43
327
Baadhi ya wale Samaki wamefikia hivi. 
narudua tena, ufugaji wa samaki unalipa, tutafute masoko ya uhakika. 

Karibuni Geita. https://t.co/snrQV3tYtH

Baadhi ya wale Samaki wamefikia hivi. narudua tena, ufugaji wa samaki unalipa, tutafute masoko ya uhakika. Karibuni Geita. https://t.co/snrQV3tYtH

24
22
216

Huwa na silika ya kuwa na busara hasa kuongelea mambo ya imani na dini ingawa naweza kuongea ya Wakristo. Leo tamko la Askofu Mkuu wa RC-TEC limenikumbusha TV series Hannibal ambapo Dr. Lecter anaungana na wapelelezi wa FBI kutafuta mhalifu anayeua watu! Am sorry being harsh!

2
6
77
Watanzania Muda kama huu,tulihitaji Viongozi wa Dini wenye kariba ya #DesmondTutu ambao bila kujali gharama ya Maumivu watakayo yapata kutoka kwa Watawala wangeamua Kusimama na Wananchi!
 Askofu Desmond Tutu alisimamia Haki Wakati Wa Ubaguzi wa Rangi huko South Africa https://t.co/RV7HO8aGGm

Watanzania Muda kama huu,tulihitaji Viongozi wa Dini wenye kariba ya #DesmondTutu ambao bila kujali gharama ya Maumivu watakayo yapata kutoka kwa Watawala wangeamua Kusimama na Wananchi! Askofu Desmond Tutu alisimamia Haki Wakati Wa Ubaguzi wa Rangi huko South Africa https://t.co/RV7HO8aGGm

31
34
394
Next Page